Wanenguaji wa Msondo ni nomaaa!

Fidel uchokozi huo Kaka
Lakini we acha tu maana kule zenji nilikuwa na ktk programu ya sauti za busara nikawa soooo hoi. Ukifanikiwa kuona minyumbuliko ya kisanga cha pwani chao walah unamsahau aisha madinda sawia.
 
Ukifanikiwa kuona minyumbuliko ya kisanga cha pwani chao walah unamsahau aisha madinda sawia.

Mkuu huyu mzee iwa ananikuna sana cheza yake we acha si unaona jamaa hapo alivyo pelekewa TG hehehehe uliza kilitokea nn kwenye suruali yake ni full mfadhaiko mkuu.
 
Back
Top Bottom