Wanenguaji wa Msondo ni nomaaa!

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
1901.jpg

1900.jpg

1898.jpg

1894.jpg

1892.jpg

Picha zaidi http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=337197
 
Mimi hii imeniacha hoi...sasa sijui ndio staili gani hii maana ni kama vile demu anampiga frankiki jamaa lakini vile vile anakuwa kama anapiga msamba wa juu kwa juu....she's limber as hell....
1898.jpg
 
Heeeeeeee....!
Kila shetani na mbuyu wake bana!

Field Marshal,... uko wapi?
Tusker Baridi,....ukowapi?
Morani75...........ukowapi
Castle...... .........uko wapi?
Bubu ataka kusema.... ukowapi?

Haya nyie wapenzi damudamu wa msondo, tuambieni kinachoendelea hapo.
Ndo mnaita nini hizo staili? au upenzi wenu wa kuungaunga?
 
Last edited:
Iteitei hiyo avatar yako noma kweli.

Nilikuwa zenji wakati msondo wanapafomu sauti za busara almanusura nimparamie mchezashow wao huyo wa msamba kama si kubaniwa na maalim ngurumo ningekuwa miongoni mwa walioonja msamba huo
 
hahahaha huyo sio mama nzawisa?
Anazungusha kiuno huyo kha! mzee Masanilo unaweza ukakubwa na mfadhaiko mkuu.
 
Huyu Iteitei asaidiwe condom ya mdomo. Ni mzee wa malovee, malavidavi.! Angalia yatakupindua!

Sa na wewe Msanii tena huko Zenji da!
Ah we acha tu.
Unajua maumivu ya kiuno yanaweza kukusafirisha mbali sana.... Muulize BRAZAMENI.

Inauma kweli kuukosa URAHA ule walah maana wanavyobubujika jukwaani ni maumivu tupu kwenye shina la shinikizo
 
Msanii,
Sasa fanya hivi, Siku nyingine nenda na `mywife` wako Msondo, halafu umruhusu acheze kama hao wa Zenji, nakwambia kama haupo kwenye Nyota ya Kijani utazaa NJE YA UTARARIBU. Maana wewe unaonekana unapenda kishenzi wa dizaini hiyo!
 
Mkuu hiyo ni sawa na kuniambia vaa mabomu kisha pita kariakoo.
nadhani itabidi nijaribu tena na tena mpaka kata ichote maji kwenye mtungi
 
Ndo mnaita nini hizo staili?
Hiyo ndiyo Msondo yenyewe, hapo kimepungua kimoja tu, Romario alitakiwa kuwa na chupa ya bia mkononi (recomended Safari lakini kwa sababu kuna promo ya kili, basi angalau hiyo alitakiwa kuwa nayo)
 
Hiyo ndiyo Msondo yenyewe, hapo kimepungua kimoja tu, Romario alitakiwa kuwa na chupa ya bia mkononi (recomended Safari lakini kwa sababu kuna promo ya kili, basi angalau hiyo alitakiwa kuwa nayo)
angetumia chupa ya bia angemuumiza binti wa watu shekhe
 
Yaani angeishika tu mkononi, si kuitumia... asingeweza kuitumia hadharani kama hapo
hehehe
nilikuwa sijui kuwa zinatumikaga ila si hadharani teh teh teh

Ila kiukwelii hawa wadada wanaumiza sana audiensi maana wanajua kwamba nyamanyama zao zimeachia hazina ushirikiano na mifupa sasa wanatibua sana utulivu
 
Back
Top Bottom