Nina HUAWEI ascend y 200, U8655-1, inajirestart tu, yaan inatokea ile icon ya huawei then inarudia rudia hapo hapo, nimejaribu hard reset ya kubonyeza switch on + volume up lakini wapi, kinachotokea ni puple colour tu, nisaidieni jamani
go setting press restore factor setting then restart you can see it
Huyo ndo mchina, tupa kanunue simu nyingine.
Nina HUAWEI ascend y 200, U8655-1, inajirestart tu, yaan inatokea ile icon ya huawei then inarudia rudia hapo hapo, nimejaribu hard reset ya kubonyeza switch on + volume up lakini wapi, kinachotokea ni puple colour tu, nisaidieni jamani
mkuu fuata utaratibu huu zima sumu kabisa kisha bonyeza volume up(V+) kisha button ya kuwashia simu, simu itaebda kwenye recovery mode hapo utatumia buttons za sautu ku select menu nenda chagua Wipe/ Factory Reset kisha tumia button ya power ku select ikimaliza kila kitu chagua reboot now,
Kumbuja njia hii utafuta kila kitu na kuludisha simu kama ilivyo kua mpya.
mkuu hiyo njia nimetumia, kama nilivyoeleza katika maelezo yangu ya awali, kinachotokea ni puple colour tu, hakuna maandishi yoyote yanayotokea
utaendaje settings wakati simu haiwaki??