ngoja wajeSalamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu litatokea,kiufupi mke wangu ni mjamzito na kimebaki kipindi kifupi ajifungue,balance ambayo tumesave imetumika kutokana misiba iliyotokea kwao na mwanamke,kimebaki kiasi kidogo ambacho kinantia waswasii kama endapo akijifungua leo au kesho kitasaidia,mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi uwezo wa kurejesha kiasi hicho cha pesa ninao japo kwa awamu mbili,naishi dar es salaam. Au kama kuna taasisi binafsi ambayo haina usumbufu kwenye kutoa hela naombeni mnisaidie hata jina.Nashukuru sana
Mimi ninayeongea na wewe naona aibu kuomba msaada maana miaka imesogea ila ndo hivyo watoto wanahitaji masomo.Asante sana mkuu
Mungu ametuumba na mioyo tofauti sana kwakweli...
nipoManengelo upo
Mkuu, kwani wapi nimetoa neno baya..!!??Jitahidi uwe na kauli nzuri mkuu..la sivyo ww huyajui maisha ya ndoa au maisha ya kipindi cha ujauzito
Mkuu, kwani wapi nimetoa neno baya..!!??
Nani amekwambia kwamba mimi siyajui maisha ya ndoa..!!??
Hadi leo unanifahamu, unajua nimewahi kulea mimba ngapi...!!??
Nashukuru kwa msaada wako.Utanisamehe sana kwa kukueleza haya;
1.Huna malengo
2.Huaminiki kwa muajiri wako
3.Huaminiki kwa kua huna rafiki,mshauri,mtu wa karibu wa kuteta nae juu ya tatizo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app