anxiety Senior Member Joined Nov 4, 2016 Posts 131 Reaction score 232 Sep 22, 2025 #1 Nimepigwa nimeenda mpaka lock up wanazengo bint yangu bado mdogo nmetoka mwanza nmemfuta mosh nmettoroka kazin mwanamke kanikana Yuko fuel station station lawate
Nimepigwa nimeenda mpaka lock up wanazengo bint yangu bado mdogo nmetoka mwanza nmemfuta mosh nmettoroka kazin mwanamke kanikana Yuko fuel station station lawate
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,350 Sep 22, 2025 #2 Huko lockup wamekupa na simu?
machafuko jr JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 850 Reaction score 1,838 Sep 22, 2025 #3 Mkuu tuliza jazba andika taratibu ueleweke
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,350 Sep 22, 2025 #4 Wamekupa simu uingie jf hio lockup ya wapi Sweden?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,957 Reaction score 56,006 Sep 22, 2025 #5 Pole Sana mkuu. Tulia utuandikie vizuri tuone namna ya kukusaidia.
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,350 Sep 22, 2025 #6 Shadow7 said: Pole Sana mkuu. Tulia utuandikie vizuri tuone namna ya kukusaidia. Click to expand... Anataka mtoto yaan kakosa mwanamke wa kumtia mimba, tatizo la akili lipo sana
Shadow7 said: Pole Sana mkuu. Tulia utuandikie vizuri tuone namna ya kukusaidia. Click to expand... Anataka mtoto yaan kakosa mwanamke wa kumtia mimba, tatizo la akili lipo sana
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 11,955 Reaction score 26,130 Sep 22, 2025 #7 Mkuu tuliza mzuka. Lock up si pa kukubabaisha hivyo. Relax uandike upya
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,670 Reaction score 144,824 Sep 22, 2025 #8 Pole
Mchalinze Senior Member Joined Jun 7, 2025 Posts 147 Reaction score 395 Sep 22, 2025 #9 Kunywa kwanza maji kidogo
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,350 Sep 22, 2025 #10 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mkuu tuliza mzuka. Lock up si pa kukubabaisha hivyo. Relax uandike upya Click to expand... Aseme kwanza amepugwa na nani na huyo mwanamke baunsa aliehisi kamzalisha kumbe hajawahi kumzalisha?
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mkuu tuliza mzuka. Lock up si pa kukubabaisha hivyo. Relax uandike upya Click to expand... Aseme kwanza amepugwa na nani na huyo mwanamke baunsa aliehisi kamzalisha kumbe hajawahi kumzalisha?
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,588 Reaction score 17,537 Sep 22, 2025 #11 Tafutal hela, hakuna mtoto wa kumkana Bakhresaa, Rostam au GSM
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 35,602 Reaction score 108,663 Sep 22, 2025 #12 VAR CHECK Thread 'Nataka nibadilishe jina la kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu. Nawezaje kufanya hivyo?' Aug 31, 2025 Wakuu Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto. Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na yangu. Changamoto imekuja nataka nimfungulie bima. Nataka kufahamu nitumie njia gani ya kubadilisha cheti chake cha kuzaliwa
VAR CHECK Thread 'Nataka nibadilishe jina la kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu. Nawezaje kufanya hivyo?' Aug 31, 2025 Wakuu Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto. Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na yangu. Changamoto imekuja nataka nimfungulie bima. Nataka kufahamu nitumie njia gani ya kubadilisha cheti chake cha kuzaliwa
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,412 Reaction score 7,031 Sep 28, 2025 #13 Mtoto kumkana dingi ni kawaida sasa wewe polisi umefikaje?!