Prince sax de lizzy
Member
- Aug 13, 2012
- 18
- 2
Vizuri,Daaaah siwezagi kuangalia haya mavitu yalotafsiriwa.
Kwanini wabongo mnapenda kujifanya hamtaki movie zilizo tafsiriwa?Zilizo tafsiriwa hazina ladha
Remember, your mind is greatest asset.
Hawataki wapi wew huko majumbani mwao zmejaa tu bt huku jforum ndo vle tena Kila mtu unajua kidhunguKwanini wabongo mnapenda kujifanya hamtaki movie zilizo tafsiriwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unataka kuforce mzee,we kama unazipenda haina shida,na tusiozipenda achana na sisiHawataki wapi wew huko majumbani mwao zmejaa tu bt huku jforum ndo vle tena Kila mtu unajua kidhungu
Sent using Jamii Forums mobile app