Hata Chadema sasa itabidi wawe very clear, its not true kwamba wao wakiingia madakani watatekeleza sera zao, ama wataondoa kero zilizopo namna gani, watoe na realistic timelines, au la waliweke hili nalo liwe mjadala wa UMMA watu wachingine the best kusort out this mess up.
Kwa mfano, sitaki kusikia uongo kwamba wao wataondoa kabisa Ufisadi, na wananchi wajue kwamba ufisadi hauwezi kutokomea kabisa, unaweza kuzimia tu lakini baadaye unaweza kuamka na nguvu zaidi, kwa hiyo watuelekze wanamikakati gani ya kuhakikisha kwamba watakabiliana na life cycle ya ufisadi sustainably wasije kuwa kama CCM, wakiondoka wakina SLAA, MBOWE wakachipuka watu wa Ajabu kabisa.
Hii hoja ni ya msingi sana, na kwa sababu Chadema ndio the leading Political Party chances kwamba wanaweza kupata fursa ya kuongoza nchi yetu ni kubwa. tuna haki ya kujihakikishia kwamba uwezo wao wa kiorganization ni dhabiti. Watanzania tusifanye makosa ya kumuamini mtu mmoja pekee, tujifunze kutokana na kifo cha CCM, out past beloved mother. We need a strong organization.
Hawa watu wanajadirika sababu ndio team iliyopo.
ZITTO kishaanza kuonyesha kwamba angekuwa wrong candidate