Wanawake!!!!

Wanawake!!!!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
How a man withdraws cash from the ATM: (1)Park the car. (2)Go to ATM. (3)Insert card. (4)Enter PIN. (5)Take money. (5)Drive away. ---------------------------- How a woman withdraws cash from the ATM: 1)Park the car. 2)Check makeup. 3)Turn off engine. 4)Check makeup. 5)Go to ATM. 6)Hunt for ATM card in the purse. 7)Insert card. 8)Hit cancel. 9)Hunt in purse for chit with PIN written. 10)Insert card. 11)Enter PIN. 12)Take cash. 13)Go to car. 14)Check makeup. 15)Start car. 16)Stop car. 17)Run back to ATM. 18)Take ATM card. 19)Back to car. 20)Check makeup. 21)Start car. 22)Check makeup. 23)Drive for a kilometer. 24)Release HAND BRAKE!
 
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaa, ngoja waje wenyewe wathibitishe hili lol....
 
Umesahau mbili mkuu XX)Run back to ATM, X Xi) Take a purse
 
hiyo si kweli mnatusingizia
Kama unataka kusafiri pamoja na mwanamke,kama safari ni saa 2 kamili mwambie safari ni saa 12 kamili,hapo angalau mtaliwahi bus likitoka getini ubungo terminal!
 
Kama unataka kusafiri pamoja na mwanamke,kama safari ni saa 2 kamili mwambie safari ni saa 12 kamili,hapo angalau mtaliwahi bus likitoka getini ubungo terminal!

yeah hiyo kweli ila hiyo ya ATM hapo juu imeongezwa chumvi
 
Hatufikirii sana next event or sequence of events to accomplish a task efficiently. Hasa kitu kikihusu nje ya miili yetu. Tuna ubinafsi wa hali ya juu. We only think ourselves all the time. Kudhibitisha hatuwezi kusahau pedi, kuvaa chupi, kuzuia matiti, kama tunataka au kutoa dudu wakati wa siku mbaya. Tunakumbuka na dates za siku kama hizi huwa tunayeyusha kama tunataka. Kuna ukweli sana.
 
hiyo ya hand brake kweli! Natamani ingekuwa inajitoa yenyewe, mi mpaka niendeshe kidogo, ndo nakumbuka sijaitoa lol! Ila hiyo ya ATM imeongezwa kachumvi lol!
 
Back
Top Bottom