Wanawake Zanzibar waandamana

Wanawake Zanzibar waandamana

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
Wanawake toka visiwa vya Unguja na Pemba wameandamana kupinga wanawake wa kutoka Tanga kuwaibia wanaume zao. Wanawake hao wamedai waume zao wakinaswa kwenye mapenzi kwa wanawake toka Tanga basi waume zao wanazamia moja kwa moja na kusahau wake zao majumbani.
Source: mm mwenyewe nimeshuhudia maandamano hayo jana.
 
tanga bana,kunani paleee!!!! si mchezo,ukilegea unapotea.mi mwenyewe shahidi
 
Hahahahah! Nilidhani watanga na wazenji ni walewale kumbe tanga wamewazid kete wazenji. Na je wanapataje access ya hao wanaume kutoka tanga hadi Zanzibar?
 
Toto za kitanga fundi bana kunako 6*6

kuna mshikaji wangu mmoja tulikuwa nae sehem flani hivi tunapiga kazi,mi nikawa natoka na mtoto wa kitanga,nikapata transfer kuja dar,nikamwambia mshikaji ngoja mi niende nikaweke mazingira fresh halafu nitakuja kumchukua shemeji yao.mshikaji akasema poa.nilipoondoka na yeye akamamua kuomba akapewa,huwezi amini,mpaka leo jamaa kaweka ndani,jamaa alinasa,kanasa kweli mpaka wa leo ndo mke wake japokuwa hawajabahatika kupata mtoto.jamaa alinipiga bao chafu,lakini kwa kweli alinisaidia coz dem hakuwa na tabia nzuri kivile lakini kumuacha inakuwa shida,anakukera,anakufanyia madudu lakini kumuacha ni kazi,ukikumbuka mapigo unayopewa,mara ya kichina,mara ya kivietnam etc etc,unaona ukimuacha utamiss mambo mengi.baada ya jamaa yangu kumbeba ndo ikawa pona pona yangu
 
Hivi eeh? nilishawasikia wanawake wa Tanga ndio zao, YNNAH unalijua hili? Mkaguzi Filipo ushaenda kukagua kule?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wamama wengi wa Zenji ni wanene kupindukia...na unene mara nyingi huleta uvivu hatimaye ubwanyenye

Wengi mtatoa macho lakini hiyo ni taarifa ya matokeo ya utafiti...
 
Tatizo wamama wengi wa Zenji ni wanene kupindukia...na unene mara nyingi huleta uvivu hatimaye ubwanyenye

Wengi mtatoa macho lakini hiyo ni taarifa ya matokeo ya utafiti...

mhhh.........utafiti gani tena?

mpwa Elli pole kwa kukerwa!
 
Last edited by a moderator:
tanga balaa hadi zenji....HATARI
wanawake chungeni waume zenu
 
Back
Top Bottom