hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?
wewe unaonekana hauna ushawish weny mpanglio,kwaamana hata kuleta mada yako 2 umechnanganya mamb mawil na we hujui kama unachcnganya mamb mawil,ushaur we kama n wa buku tana tafta dem wa buku mbil,halaf mada ya mke wa kuoa peleka love conect,over
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?
Umezaliwa na kukulia Moshi au umeenda Moshi ukubwani? na umekaa muda gani Moshi?
Mfano, utongozaji wa Dar unaweza usifanikiwe Moshi(especially ukiwa unataka mke na sio mama ntilie).
Nimeshashuhudia viwembe wa Dar wamechemsha Arusha na Moshi.
Fahamu kuwa unapomtongoza mwanamke(wife material) akakukubali, usidhani amekukubali hapo unapomtongoza, anakuwa alishakukubali hata kabla hujamtongoza, yaani alisha ku-evaluate kabla hata hujamtokea na aka ku-pre-approve.
Inawezekana wanawake wa huko hawaoni kutoka kwako sifa zozote ambazo zinaweza kuwafanya waka ku pre-approve kuwa mume.
Chunguza wanawake wa huko wanapenda kuolewa na watu wa aina gani ki hali na mali, halafu jilinganishe na wewe ukoje, kama uko vinginevyo jitahidi ku achieve hizo sifa.
Kama unatafuta demu wakuzugia wapo kibao ila suala la mke ni jambo gumu mke hatafutwi kama shati za mtumba au chupi,jiangalie kama una vigezo vyote huwezi koisa demu!