Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Kiukweli mbavu toa ndiyo maana nimepiga kambi hapa.

msiishie kupewa sifa tu na sisi tuangalieni sasa tunaowapa sifa mtufikirie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Teh teh kumbe hizi sifa sio bure buree
 
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.

Nami kama nakuunga mkono eti.
 
Ndo maana hata mimi niliamua kumuoa mweusi. They are genuine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…