Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe

Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe

Weupe wa ngozi au weusi wa ngozi sidhani kama watu wanauelewa vizuri!

Kuna utafiti mwingine wanasema kama wadada wanajipiga deki sasa ni kuangalia rangi ya fizi na lipsi! Zikiwa nyeusi sana bhasi ujue ana joto la juu zaid kuliko walio na pink kwenye fizi zao!

Anyway wacha tufate huu utafiti wa rangi ya ngozi huenda ikachangia kuwafanya dada zetu waache kujichubua!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Mtoa post UMEKURUPUKA , Njo MOMBASA NIKUPE BINTI WA KIARABU au mhindi au muitaliano, hubanduki wewe, hapa mgunya,kule m'bajuni ,huku mgoha, hapo kati kuna watoto shombeshombe , thubutuuuu kama utarud
 
Weusi watakuwa wanameza heater tu, sio bure au wanasharabu mwanga nini?
 
mtoa post UMEKURUPUKA , Njo MOMBASA NIKUPE BINTI WA KIARABU au mhindi au muitaliano, , , , hubanduki wewe, hapa mgunya,kule m'bajuni ,huku mgoha, hapo kati kuna watoto shombeshombe , , , , , ,thubutuuuu kama utarud


We we we! una hakika ndo lengo unalomuitia mombasa kwelii?
 
Unamaisha mazuri maana napenda raha shida sijazoea

Pole sasa utazizoea tu ingawa wanasema kibaya hakizoeleki..kwa hiyo shida hujazizoea.
Una miaka mingapi katika hizo shida mpaka usizizoee.
 
Ni kweli mkuu.ndo mana mi uwa natanguliza barafu kwanza kwa bibi kabla sijaingiza mjegejo
 
Back
Top Bottom