wanawake weusi wajilaumu wenyewe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanawake weusi wajilaumu wenyewe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Dec 13, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  ikiwa leo wanawake weusi wanajichuna ngozi na kuweka nywele za bandia ili wafanane na weupe (wazungu)sasa kuna haja gani mtu achukuwe wanawake kama hao ,kwa manana hiyo tayari ameueleza ulimwengu rangi na nywele alizokuwa nazo zinawafanya waonekane WABAYA .(UGLY)

  The Rev. Al Sharpton held a press conference today to blast Tiger Woods for the lack of diversity among his mistresses. Sharpton claims that the lack of African-American women among Woods’ harem will have a negative affect on the black community, specifically young black girls.
  “Why is it that a man who calls himself black can’t bring himself to cheat on his wife with a black woman?” said Sharpton, speaking to a group of supporters in Harlem. “What does it say to young black girls everywhere when you pass them over? Shame on you, Tiger Woods. What would your daddy say?”
  Sharpton, who has long championed taking black women as mistresses, said that today’s black athletes need to stop neglecting black women when it comes to extramarital affairs, and should follow the examples of positive black role models such as Jesse Jackson and King, Jr., both of whom cheated on their wives with black women. Sharpton also stressed that cheating with African-American women would help the black community financially by giving black girls the chance to sell their stories to tabloids and gossip
  Added Sharpton, “I’m not asking you to not cheat on your wives, I’m just asking you to give back to your own community.”
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Tatizo siyo kujichubua wala nywele za bandia, ila ni kuwa wasichana weusi wanaanza ngono wakiwa na umri mdogo sana kulinganisha na wazungu na baya zaidi asilimia karibia themanini (80%) ya mabinti hao wanazaa kabla ya kufikisha miaka 18.
  Ukitaka kujua angalia watu weusi wenye wake weusi utakuta ni wachache sana, na sababu kubwa ni kwamba wanaume wanapofikisha umri wa kuoa, mabinti wote wanakuwa tayari wana watoto nje ya ndoa. Ndiyo maana wengi wanaishia kuoa wazungu.
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Where did you guys get this? The Onion?

  Nasikitika watu wengine wataichukulia seriously.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 13, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mbona tayari wapo...kamsome Mfianchi kule kwenye Celebrities. Sitashangaa kama Bubu Ataka Kusema naye akiichukulia serious
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbona imeshawekwa kwenye Michuzi bila clarification?
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  mhhh.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni kama CHAI iliyowekwa CHUMVI, au SUPU YA NGOMBE iliyotiwsa SUKARI!
  " HOLY CRAP"
   
Loading...