Wanawake weusi are so sweet

Wanawake wengi wanapenda kupaka mikorogo Sasa ukijichubua UKAWA na rangi mbili nani atakupenda wanawake WAACHE mikorogo unakuta uso baada ya kuwa mweupe unapungua kwenye weupe na kuwa mwekundu sio Kila mtu ANAPENDA anapenda mwanamke mweupe na sio Kila mtu ANAPENda mwanamke mweusi it's just a destiny just be you vidole vikichanganyika tu ni shida
 
Kumbe bac ndo maana nawaelewaga sana watoto weusi lkn chocorate
 
Hatunaga mpinzani kubwa kuliko yote na wanaume wa wazungu hawanaga usemi juu yaa hii ngozi.
Mkalale sasa jamani.
 

Sipendi mwanamke anae jichubua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…