Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
😂😂😂😂 weupe hawa hawa wa tz
😂😂😂😂 weupe hawa hawa wa tz
wewe ni cheupeee eeeh
Ulikutana na wangapi,maana hata weusi wapo pia wa baridi inategemea na damu ya mtubasi itakuwa niliokutana nao mimi![]()
hahahah... basi itabidi nianze kutafuta vyeupe vya kanda ya ziwa labda na mimi ntafuta kauli yangu na kuungana na G
wengi tu siunajua ujana huu 😆😆Ulikutana na wangapi,maana hata weusi wapo pia wa baridi inategemea na damu ya mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatusingiziaa itabidi ufanye hivyo ufute kaulihahahah... basi itabidi nianze kutafuta vyeupe vya kanda ya ziwa labda na mimi ntafuta kauli yangu na kuungana na G
Si kweli ni dhana ya chuki na wivu tuwengi tu siunajua ujana huu![]()
dah hiyo aviatar yako inanipa mzuka mbaya, yaani nimekupenda kupitia hiyodah nimekupenda sana leo umeongea cha maana
niliandikaga huu uzi lakini kivingine walinitukana sana ila bora leo umewapasha!
😂😂😂😂😂😂 tuseme wanaume tunawachukia girls weupe au hahah
nitakupa mrejesho siku nikifanikiwa kutengua kauli
Sawa,mi naamini mapenzi ukimpenda mtu hata awe wa blue utafurahia kila kitu chakenitakupa mrejesho siku nikifanikiwa kutengua kauli