Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Kula , kunywa chochote bill kwangu, !!!!
 
Kama hujawahi kuwa mzinzi huwezi kujua tofauti ya wanawake weupe na weusi,wanawake weupe wana ujinga wa asili kulinganisha na weusi ambao wengi wao wana akili tulivu sana ktk kufanya maamuzi.
Wanawake weupe wengi wao ni malimbukeni sana,ile hali ya kuwa weupe huwadumaza sana na kujiona kuwa wao ni bora kuliko wanawake wote.
Ukichunguza kwa makini hata ndoa nyingi zinazovunjika ni za wanawake weupe,kundi hili ni hatari kuoa,ni bora ukaoa mwanamke mwenyewe rangi ya maji ya kunde kuliko mweupe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tulia na Balotel hapo

☆Let us sacrifice our today so that our children can have a better tomorrow☆
 
Mbona wapo wenye ndoa zao safi hazina longolongo sema hujabahatika tu ukampata siku hizi
watu wanaolewa hao hao black wakifika kwenye ndoa wanaanza kujichubua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahis kwa sababu jamaa atamtimua
Alikupenda kwa weus wako bas
Ila Achen dharau kibur kujiona Mbona tutawaita wife material tuu nakuwaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom