Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,820
nimemshitukia pia!
nimemshitukia pia!
Mkuu hii study nzuri jaribu kuifanyia kitu. Inaweza kukulipaAfya Ya Uzazi: wanawake weupe hupata sana matatizo wakati wa kujifungua mf. kutokwa sana damu, vifafa vya mimba...nk, kwa miaka yangu 15 ya kuhudumu kwenye chumba cha uzazi nimeligundua hili pasi na shaka yaani inafika wakati nikipokea mama mjamzito mweupe huwa nakaa mguu sawa maana lolote linaewza kutokea tofauti na wenzao
ile avatar uliyoitoa kumbe ulikuwe ndo wewe ? Maana ilikuwa na rangi nyeupeAsante mkuu hii kuchanika inawakumba wanawake wengi wakati wakuzaa nikijiwazia cjui nitumie njia IPI mbadala ya kuja kukwepa only few hutoka salama aisee, sasa kuna rudi normal kweli mbona majanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepima utamu na kipimo gani?Black very hot while white African cold. Black niwatam sana asikwambie mtu Mungu anatisha.
Hivi hao weusi huko chini hakuna kiza cha kutafutana?ila wakati wa majamboz kabla ya kupandiza kuchezea nyeupe inapendeza kidogo, kuna nyingine nyeusi mpaka mmmh!
Mbona sijaitoa Mimi hyo avatar jamaniile avatar uliyoitoa kumbe ulikuwe ndo wewe ? Maana ilikuwa na rangi nyeupe
Kweli? ngoja pia nitafute mtu wa ku-fund hii study!Mkuu hii study nzuri jaribu kuifanyia kitu. Inaweza kukulipa
hahahaha na itasaidia afya mkuuNyuzi za namna hii zitasababisha tupunguze kupaka mkorogo![]()
hapa utaleta mada ingine ya wanawake wanene nan wembambaunakojoaje sasa kama joto hakuna.....joto lipo achana na izo feeling mbaya ila mwanamke yoyote mnene lazima awe na joto la hatari unaweza kojoa ovyo ovyo pasipo kutarajia
Kwakweli mimi leo ni mweusi tena tiiii.
Hivi mwanaume anakuwaje mweupe!!!!
Mmmh!!!Afya Ya Uzazi: wanawake weupe hupata sana matatizo wakati wa kujifungua mf. kutokwa sana damu, vifafa vya mimba...nk, kwa miaka yangu 15 ya kuhudumu kwenye chumba cha uzazi nimeligundua hili pasi na shaka yaani inafika wakati nikipokea mama mjamzito mweupe huwa nakaa mguu sawa maana lolote linaewza kutokea tofauti na wenzao
Eti kwa mfano tuu Dada mwanaume unaanzaje kuwa mweupe.Hivi mwanaume anakuwaje mweupe!!!!



Wewe ni mweupe?tuache mkuu, tujikite na mada iliyo mezani kwanza!
Si ndio hapo sasa!!!
Basi nimekosea umri nao huu