Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna kipenzi, inarudia hali yake kabsaa, sasa ukiogopa nasi twataka mababy itakuwaje sasa?
nakuhakikishia haya hayatakupata, ntahakikisha natimiza majukumu yangu vyema, hadi unaenda leba utaingia moyo ukiwa mweupe no complikesheni zitakazotokea, kitu kitateleza chwiiiip[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app