Wanawake wepi unawakubali hapa?

Wanawake wepi unawakubali hapa?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,808
Reaction score
140,794
53709509_10157173682569339_2530967121647632384_o.jpg

53604385_10157173682554339_4175328624032874496_n.jpg

Wepi unawakubali hapa pamoja na mitoko yao?

Hao wa kijani na njano siwezi kuwakubali mpaka naenda kaburini.

BAWACHA Oyeeeeeeeeeeeeee
 
Kabla ya mwaka 2010 nilikuwa nachukia Sana nikiona bibi na mama yangu Wana kadi ya chama cha mapinduzi.kipindi hiko nilikuwa Niko chadema wakawa wananiambia sisi TUTAENDELEA kukiamini CCM mpk mwisho wa uhai wetu
Baadae chadema walivopokea fisadi kuu na kumkaushia slaa nikaamua kuhamia CCM maisha yangu yote na Sasa nasema CCM ndio baba lenu.na subirini kipigo kutoka kwetu mwaka 2020 mtakoma
 
Kwa kuzingatia nyuso zao, wale waliovaa njano na kijani ni kama hawana furaha wakati chama chao ndio kipo madarakani,
kwa kuangalia wepesi mfano wa kuchambua mambo, wale waliovaa bluu na nyeupe wanaonekana kuwa wepesi wa kudadisi mambo.
 
Kabla ya mwaka 2010 nilikuwa nachukia Sana nikiona bibi na mama yangu Wana kadi ya chama cha mapinduzi.kipindi hiko nilikuwa Niko chadema wakawa wananiambia sisi TUTAENDELEA kukiamini CCM mpk mwisho wa uhai wetu
Baadae chadema walivopokea fisadi kuu na kumkaushia slaa nikaamua kuhamia CCM maisha yangu yote na Sasa nasema CCM ndio baba lenu.na subirini kipigo kutoka kwetu mwaka 2020 mtakoma
Sasa yule fisadi mkuu kwa mujibu wa bandiko lako karudi tena CCM, je utaondoka CCM?
 
karudi ccm.utahamia wapi sasa?
HUNA MSIMAMO
Kabla ya mwaka 2010 nilikuwa nachukia Sana nikiona bibi na mama yangu Wana kadi ya chama cha mapinduzi.kipindi hiko nilikuwa Niko chadema wakawa wananiambia sisi TUTAENDELEA kukiamini CCM mpk mwisho wa uhai wetu
Baadae chadema walivopokea fisadi kuu na kumkaushia slaa nikaamua kuhamia CCM maisha yangu yote na Sasa nasema CCM ndio baba lenu.na subirini kipigo kutoka kwetu mwaka 2020 mtakoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maketio ya ngedere sana weye.Haya,amerudi huyo fisadi.Fungasha virago vyako ukaungane na Spunda.
 
Hiyo picha inaongea mengi sana.

Inaonekana kundi moja waliifurahia siku yao kweli kweli toka miyoni mwao.

Kundi la pili linaonekana halina habari kabisa na tukio lililopo mbele yao na ni kama vile hayo mavazi wamevishwa tuu na kuambiwa mkakusanyike mahali fulani bila kuambiwa ni mkusanyiko wa nn hasa.
 
Back
Top Bottom