Mie.umenikonfyuzi mdingi. Sasa ni wazuri ama sio wazuri? Waaminifu halafu tena wanadanganywa na wanaume?
Wapambe wa big brother africa, huyu anafanana na sheila, mshiriki wa kenya?
Well, nashukuru Mungu mie nafanana na jembe la ukweli, king of stories in east and central africa, dingi wa kimataifa, Mtambuzi
gfsonwin, mie napenda sana kupingwa.Mtambuzi umesema hajiami kwasababu ya sura yake kuwa ndefu ama kwasababu ya pozi lake?? binafsi leo nakupinga hebu fikiri kama aliatega pozi la picha akaonyesha macho ya kujihami kwa tafakuri nyingi je hajiamini??
kuiamini kwa mtu nijuavyo ni zazid ya sura ya mtu ni tabia ambayo iko katika matendo na maongezi zaid, na hii hutokana na ama na maumivu alowahi kuyapata mtu siku za nyuma ama aina ya malezi.
Mie.umenikonfyuzi mdingi. Sasa ni wazuri ama sio wazuri? Waaminifu halafu tena wanadanganywa na wanaume?
Wapambe wa big brother africa, huyu anafanana na sheila, mshiriki wa kenya?
Well, nashukuru Mungu mie nafanana na jembe la ukweli, king of stories in east and central africa, dingi wa kimataifa, Mtambuzi
gfsonwin, mie napenda sana kupingwa.
Mimi nimesema kwama wanawake wenye sura inayofanana na huyo mwanamke kulingana na pozi lake na ndio sababu ya kuelezea muonekano wa sura, na sijasema huyo mwanamke aliyeko hapo kwenye picha.
sasa kama kaweza pozi kama ulivyosema hiyo haihusu, mimi nilikuwa natafuta nsura yenye pozi fulani kwa ajili ya ku support mada yangu.
Hujaona waigizaji wanavyoelekezwa watengeneze sura ili ifanane na mtu mwenye haiba fulani?
Mweh1