Wanawake wenye sura ya aina hii hawajiamini……!

Wanawake wenye sura ya aina hii hawajiamini……!

.. Mtambuzi naona umetuamulia.........mie nasubiri sura yangu.......

Black-woman-thinking.jpg


BADILI TABIA, kama unafanana na huyu, basi wiki ijayo nakuja na vibweka vyako.....................
 
Na kwa kuongezea Mr. Erwin Yap, mtaalam wa kusoma sura za watu na tabia zao aliwahi kutoa makala moja inayozungumzia sura za watu na jinsi zinavyo relate na tabia zao. Soma kipande hiki hapa chini ....
Wood Face

widest horizontally at forehead narrowing to a small delicate chin
A tall and broad forehead indicates intelligence while a small delicate chin indicates lower physical motive. People with Wood Face tend to be deep thinkers, philosophical, good at analyzing and a strong desire to acquire knowledge. In general, people with such face dislike outdoor jobs.
One bad thing about wood face people is that because for their love of seeking knowledge, they do not spend enough time thinking about money and have the tendency to face financial problems during their rainy days.
Wood face people also have the tendency to be nurturing. Lady Die is one deep-thinker yet nurturing wood face person.
Wood face main characteristics :

  • high-intelligence, love to learn something new. Everyday is a learning day to people with wood face.
  • like to stay in one place for a long period of time
  • have many aspirations
  • kind and generous at heart
Professions suitable for wood face people : researcher, writer, lecturer, artist.
Fire Face widest horizontally at chin, narrower at cheekbones even narrower at forehead
Triangular face are called the fire face as the shape implies the face is pointed at the top but with a dominant flared out chin.Fire face people are usually extroverted and have an aggressive style. They tend to be sociable with a fun personality and are people-oriented.One weakness of fire face people is their temper.Fire face main characteristics :​
  • illuminating
  • have a knack of changing people's perspective
  • need back-ups to shine ( just like fire itself, they need woods to start them)
Fire face people are suitable for jobs that require audience where they can turn to account their best qualities. They make good speakers, presenters, network marketers, etc.​
Earth Face horizontal width of face is same at forehead and across the cheekbones with heavy jaw line
Earth face indicates someone who is stable, reliable and trustworthy. Most of the people with Earth face are down to earth and are unlikely to be found taking any unnecessary risks because they prefer to tread the beaten or proven path. They are also known for their strong will power.
Earth face people weakness is their tendency to be too conservative so others may view them as not forward minded enough.
Earth face main characteristics :

  • quiet existence
  • not easily influenced by others
  • required an event that shook their conscience that finally drives them into doing something
Earth face people are suitable for jobs that requires trust such as finance and insurance.
Metal Face OVAL FACE SHAPE well proportioned, symmetrical, jaw tapers, evenly to chin
Metal face people tend to have fairer complexion. They have a strong urge to become a pioneer in almost everything they do. They also have a sense of righteousness and justice and are very good in decision making.​
Metal face people are full of ideas and mostly become the man of concept while the people with wood face are the one doing the work. However, due to their many brilliant ideas, an oval face shape person use to become irrational at times so they need to regularly check whether their idea is too irrational or not.
Metal face main characteristics :

  • Pioneer, pace setter
  • firm, bold
  • always seems to obey the rules
  • have high IQ
People with metal faces are suited for positions that involve justice and decision making such as judges, management professionals, diplomats etc.
Water Face Round Shape face / Water face
Water is often associated with intelligence, diplomacy, adaptability and relationship. People with water face shape also have a strong business sense and are willingly to grab any opportunities that pass right under their nose.
Water face people's weakness is their tendency to hesitate on making decisions and others may view them to be slow.
Water face main characteristics :

  • Smart
  • Could easily adapt into new environment
  • Practical
  • Dynamic

Kitu cha kukumbuka:

Not every face will fit into the categories that were described above. Some may look like a mixture of 2 elements and so on. So, If your face shape looks like a mixture of 2 elements, it means that you don't own a pure characteristics of one elements but the mixture of the two elements your face represents.​
 
Na kwa kuongezea Mr. Erwin Yap, mtaalam wa kusoma sura za watu na tabia zao aliwahi kutoa makala moja inayozungumzia sura za watu na jinsi zinavyo relate na tabia zao. Soma kipande hiki hapa chini ....

Bora umenisaidia.

maana kuna wahafidhina hapa wanataka kunibishia.
 
Heheheee.... Hata mi nasubiria kusikia tabia ya sura yangu..!.
 
duh,no comments!!hakunaga mwenye hutu tusura ambaye nshakutanae nae maishani,ngoja nione wadau wanasemaje!
 
gfsonwin, mie napenda sana kupingwa.

Mimi nimesema kwama wanawake wenye sura inayofanana na huyo mwanamke kulingana na pozi lake na ndio sababu ya kuelezea muonekano wa sura, na sijasema huyo mwanamke aliyeko hapo kwenye picha.

sasa kama kaweza pozi kama ulivyosema hiyo haihusu, mimi nilikuwa natafuta nsura yenye pozi fulani kwa ajili ya ku support mada yangu.

Hujaona waigizaji wanavyoelekezwa watengeneze sura ili ifanane na mtu mwenye haiba fulani?

Mweh1
Mtambuzi unaposema wanawake wenye sura inayofanana na huyu binti napata mashaka, manake pozi la namna hiyo ni creative tu sidhani kama kuna mtu yuko muda wote na hali ya sintofaham kama huyu dada unless uniambie kwamba kuna watu wana sura za sintofaham hapa duniani. nafikiri hii ni hali ambayo humkuta mtu hasa anapokuwa na msongo ama tatizo gumu akilini na ambalo analifikiria atatokaje. ni mtazamo wangu tu
 
Last edited by a moderator:
Ngoja yule wa kwangu nikamkague vizuri.....Kama ana sifa hizo kheri yangu!
 
Wewe mtambuzi huo ufafiti umefanya kwa wanawake wangapi hadi kufikia kutoa maelezo hayo?, binafsi sikubaliani na wewe.
 
life-and-love.jpg


Hiyo hapo juu ni sura ya mwanamke. Ni sura ambayo pengine umeshakutana nayo mahali au ambayo unaijua vizuri. Kama kuna mwanamke mwenye sura ya aina hiyo, ambaye unamjua vizuri au ambaye uko karibu naye, msome tabia zake, halafu uniambie ulichogundua. Ni wazi utagundua kile nitakachoeleza humu kuhusu tabia za wanawake wenye sura za aina hiyo.

Angalia mdomo, pua, macho na paji la uso. Hayo ndiyo maeneo ambayo yanakupa sura. Bila shaka ukiangalia kwa makini, sura hiyo ni nzuri kwa mujibu wa mazoea yetu katika kutazama tulichofundishwa kwamba ni kizuri au kibaya. Wanawake wenye sura hiyo, kwa kawaida ni wenye aibu zinazotokana na kutojiamini. Kwa sababu ya kutojiamini, kuna wakati hujaribu kufanya mambo kwa kupita kiwango chake na kutafsiriwa kwamba wanaringa au wana dharau.

Wanawake wenye sura kama hiyo hudanganyika kirahisi kwa wanaume kwa sababu wenyewe ni waaminifu kwa kiasi cha kutosha. Huamini wanaume kirahisi kwa sababu, wanadhani kila mtu ni mwaminifu na mkweli kama wao. Kukuta mwanamke wa sura hiyo akiwa anaendeshwa na mwanaume ni jambo la kawaida.

Lakini kuna wale wenye sura kama hiyo ambao wamjikagua vibaya kwenye kioo au wameambiwa kitu tofauti utotoni, ambao huwa wahuni, yaani wasioaminika. Hata hivyo, ukiwaangalia hao kwa makini, suala linarudi palepale kwenye kutojiamini. Hata hivyo ni wanawake wenye bahati ya kuaminika, ingawa huharibu bahati hiyo wao wenyewe bila kujua. Wanaaminika kwa sababu ni waadilifu na wanaojua kuishi na watu kwa sehemu kubwa.

Wanawake wa sura hiyo hawana makuu, isipokuwa ni wababe sana. Wana aina fulani ya ubabe ambao ukiuangalia sana ni kutokana na kutojiamini kwao. Kwa hiyo wanawake wenye sura hii wanaharibiwa na kukosa kwao kujiamini tu. Kama wakijenga kujiamini, hutokea kuwa watu wenye kuaminika zaidi na kufika mbali sana.

Wanajua kupenda, lakini wanajiachia sana hadi wanajikuta hawana kauli tena kwa wapenzi wao. Ni wagumu kufanya uamuzi wenye kushika kwenye uhusiano. Na wanaweza kuamua kuondoka na kesho wakarudi kubembeleza wenyewe. Wana huruma na wako tayari kushiriki kidogo walicho nacho na wapenzi wao au watu wengine.

Wanapenda sana mzaha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri. Lakini wao wanapotaniwa, mtaniaji ni lazima awe mwangalifu, vinginevyo hakawii kuwaudhi. Hata hivyo upole hutokea kuwaonea pia. Mwanaume akipata mke wa aina hii anaweza kujidai kwamba, ana mke wa maana kwa sababu ya sifa ya uadilifu na upendo wa dhati lakini kama nilivyosema, inabidi mwanaume huyo amsaidie mwanamke huyu kujiamini.

Uzi huu uwafikie kina, gfsonwin, nivea, nyumba kubwa, BADILI TABIA, farkhina, jouneGwalu, charminglady, Ciello, Madame B, MadameX, lara 1, Paloma, NATA, Neylu, Yummy, SnowBall, Mwita Maranya, platozoom, Eiyer, MwanajamiiOne, Angel Msoffe, fabinyo, King'asti, Arushaone, Mungi, Erotica, Natalia, Zinduna, matumbo, Jiwe Linaloishi Mentor, Kijino, Kaunga, BelindaJacob, HorsePower, Kongosho na wengineo nisiowataja........

Najaribu kuangalia haya uliyoyasema kifalsafa zaidi, kwa asilimia kadhaa ni kwamba uko sahihi !!

Haya tupe picha nyengine, ya mwanamke anaejiamini....
 
Back
Top Bottom