Wanawake wenye sura hii hawajali na wanajua kupenda…!

da.. kama wapo wenye tabia na sura hizo, tuwaombe wawe concelors to their fellow ndoa zitadum zinatesa watu kwel............ plzzzzzzzz.
 
Mtambuzi tuheshimiane mkuu, kutoana kwenye kadamnasi kama hivi kunani?....lol!
 
Kuna mmoja ana SURA KAMA HII.... yaani huyo KUNGURU ANA AFADHALI...!!!
 
Mtambuzi next time naomba utuwekee sura ambayo ni vise versa na haya ulosema leo ili tujijue tuko wapi lol!
 
Last edited by a moderator:
black-woman-laughing.jpg



Domo analo kubwa, kubwa zaidi ya la Diamond. Kama na huko chini ni hivyo, shughuli ipo hapo.
 
Back
Top Bottom