Wanawake wenye sura hii hawajali na wanajua kupenda…!

Ugomvi wangu mkubwa na mume wangu ni Ku do! huwa sipendelei sana , na hata hapa kazini sikupandishwa cheo kwa miaka 5 kwa sababu nilimyima boss K.

kuna wanaume hudhani asipompa vizuri hilo tendo mke wake anaweza kutoka nje hivyo jitihada inakuwa kubwa, mweleze ni kwa namna gani unapenda iwe na atakuelewa tu.
 
Mtambuzi itabidi atuambie anatumia vigezo gani kutoa tabia za mtu kutokana na sura yake.
Wapo watu wazuri ajabu lakini wana roho mbaya kama shetani, na kuna watu wana sura mbayaaa but ni wapole, wakarimu na wanaupendo

Mtambuzi na analysis zake!
hivi sura ina anything to do with tabia? mimi naona tabia yoyote anaweza akawa nayo mtu mwenye sura yoyote.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi itabidi atuambie anatumia vigezo gani kutoa tabia za mtu kutokana na sura yake.
Wapo watu wazuri ajabu lakini wana roho mbaya kama shetani, na kuna watu wana sura mbayaaa but ni wapole, wakarimu na wanaupendo
usiwe na wasi wasi ram, Mtambuzi kesho atakuwa live na akina lala na Zinduna, tunaweza tukamwuliza akatufafanulia hili pia.................. maana mimi ananichanganya tu kila siku
 
Last edited by a moderator:
kuna wanaume hudhani asipompa vizuri hilo tendo mke wake anaweza kutoka nje hivyo jitihada inakuwa kubwa, mweleze ni kwa namna gani unapenda iwe na atakuelewa tu.

Nashukuru kwa ushauri , ila kudo nado tena naenjoy ile mbaya , ninachokisema mm ni kuwa si mpenzi sanaaa wa hiyo kitu kama mambo mengine, kama kwenda outing, kutaniana, yaani napenda tukae hata siku tatu ili ukija ukiipata unakuwa na hamu nayo sana , hivyo unakuwa unaifurahia , lakini ukiipata kila siku inakinaisha. nafikiri umenielewa.
 
black-woman-laughing.jpg

Hivi wenye sura kama hizi wanaweza wakafika kama wangapi?
 
Nashukuru kwa ushauri , ila kudo nado tena naenjoy ile mbaya , ninachokisema mm ni kuwa si mpenzi sanaaa wa hiyo kitu kama mambo mengine, kama kwenda outing, kutaniana, yaani napenda tukae hata siku tatu ili ukija ukiipata unakuwa na hamu nayo sana , hivyo unakuwa unaifurahia , lakini ukiipata kila siku inakinaisha. nafikiri umenielewa.

Hilo ni tatizo la kawaida, katika ndoa au mahusiano, inawezekana mwanaume au mwanamke akawa na kiwango kikubwa cha hamu ya kufanya ngono kushinda mwenzie.

Ikiwa ni mwanaume ni vizuri kwa sababu ndoa itakuwa na amani lakini ikiwa ni mwanamke inaweza kuzuka tafrani iwapo mume hatakuwa muelewa, maana anaweza kuhoji kuwa iwapo atasafiri mkewe anaweza kuvumilia kweli au atatoka nje, kwa hiyo wanawake wengi wenye hamu kubwa ya tendo la ndoa kuzidi waume zao huumia ndani kwa ndani kwa kuhofia kuzusha ugomvi.

Nimeshawahi kukutana na kesi zinazofanana na hizo.
 
Mbona wangu hana sura hiyo lakini anajua maisha ni chapakazi na ni mtaalamu kwa mambo mengi. Wapo wanawake wengi wasio na sura kam HIYO LAKINI BADO TABIA ZAO NI KAMA ZILIVYOTAJWA NA MTAMBUZI. Siamini kama mwonekano wa nje ni determinant ya tabia ya ladies kwani hiyo ni sawa na kusema wanaume woote warefu ni wataalam wa masuala kwa sababu eti wana maumbile makubwa.

Mtambuzi kuna sifa umesahau kwa hawa wa dada je suala la uaminifu kwenye mambo ya ndoa likoje kwani najua ladies wanaocheka cheka ni maji mara moja.
 
usiwe na wasi wasi ram, Mtambuzi kesho atakuwa live na akina lala na Zinduna, tunaweza tukamwuliza akatufafanulia hili pia.................. maana mimi ananichanganya tu kila siku
FP - Umesoma Topic ya Kesho?
Hilo swali hali huu kabisa kwenye mada, muombe lara 1 abadilishe mada.....................LOL
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi itabidi atuambie anatumia vigezo gani kutoa tabia za mtu kutokana na sura yake.
Wapo watu wazuri ajabu lakini wana roho mbaya kama shetani, na kuna watu wana sura mbayaaa but ni wapole, wakarimu na wanaupendo

Huwa naoteshwa na mizimu mwanangu ram................
 
Last edited by a moderator:
FP - Umesoma Topic ya Kesho?
Hilo swali hali huu kabisa kwenye mada, muombe lara 1 abadilishe mada.....................LOL
sijawahi ona mkutano ambao hauna AOB, huu ndoo utakuwa wa kwanza.
uliona mtanange wa The Boss siku ile? baada ya maswali ya waandaaji tukaanza kujimwaga wasikilizaji.... kwa hiyo jipange tu na jibu rafiki
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni tatizo la kawaida, katika ndoa au mahusiano, inawezekana mwanaume au mwanamke akawa na kiwango kikubwa cha hamu ya kufanya ngono kushinda mwenzie.

Ikiwa ni mwanaume ni vizuri kwa sababu ndoa itakuwa na amani lakini ikiwa ni mwanamke inaweza kuzuka tafrani iwapo mume hatakuwa muelewa, maana anaweza kuhoji kuwa iwapo atasafiri mkewe anaweza kuvumilia kweli au atatoka nje, kwa hiyo wanawake wengi wenye hamu kubwa ya tendo la ndoa kuzidi waume zao huumia ndani kwa ndani kwa kuhofia kuzusha ugomvi.

Nimeshawahi kukutana na kesi zinazofanana na hizo.

Kweli nakupa salute kaka mtambuzi nimeamini kweli una busara sana. nami nashukuru kuwa yeye ndiye kazidi kuwa na nguvu kunishinda. So akisafiri nakuwa niko likizo. ila kwa kweli akirudi naenjoy sana maana nakuwa nimeimiss.

Thanx u
 
kimsingi sidhani kama kunauhusiano wa sura na tabia ya mtu..coz hivi vitu vinatgemea malezi, makuzi, mtu aliyezaliwa kwenye familia isiyo kua na upendo..kuna possibility kubwa ya kutojua upendo na thamani ya upendo...ni hayo tu..haijalish sura midomo, pua ama umbile likoje,...
 
Back
Top Bottom