Weee thubutuuuu, hakuna wanawake magumu wa kukubali show kama wenye sura ngumuSababu kubwa ni 2 tu.
1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi kali kwa hofu ya kukataliwa.
Kwahiyo wanaume huwatongoza zaidi hawa wadada wenye sura, nyayo na mwendo wa baba zao. Ndiyo maana ni kawaida kwa dada pisi kali kukosa mume au mpenzi kwa kuwa wanaume wengi wanaogopa kuwatongoza.
2. Wadada sura mbovu huwa hawajiamini na wanaogopa kupoteza bahati.
Wakitongozwa hukubali kirahisi kwa kuwa wanahisi wakikataa wengine hawatakuja. Wajanja wanajipigia na kuwazalisha kisha wanasepa. Huyu bidada anabakia kuwa singo mama.
Huu ni uchunguzi uliofanywa kwa Ustadi mkubwa na Sexless
Naung hojaSababu kubwa ni 2 tu.

Unakuta ni mweusi, mfupi na ana shepu kama gunia la pamba. Lkn hapo hapo ana sura ya babake. Ana manyonyo makubwa kama puto za kucheza watoto. Huyo siyo mbaya??Kwamba kuna watu wana rangi mbaya? Shepu mbaya? Sura mbaya? Nyie muogopeni Mungu nyie. Jifunzeni ku appreciate utofauti wa watu.
This is rude.
Kwamba kuna watu wana rangi mbaya? Shepu mbaya? Sura mbaya? Nyie muogopeni Mungu nyie. Jifunzeni ku appreciate utofauti wa watu.
This is rude.