Hao viumbe hawakai kwenye mahusiano na mwanaume yeyote anapiga papuchi kirahisi tuDuh aiseee
Is this serious?Hao Mbwa hawatosheki ni Malaya kama mbwa
Mkuu Kuna mmoja anakuja Kwa kasi nilikutana nae TikTok nikam dm tukahamia whtsup asa kasi yake hadi naogopa kuonana nae!Kitaalam naskia Wana testosterone nyingi (homoni za kiume), hizi usababisha wao kua na tabia za kiume zaidi kuliko za kike. Mf:
-upambanaji kiuchumi
-ubabe ubabe
Angalia usije kukutana na Shemale..Mkuu Kuna mmoja anakuja Kwa kasi nilikutana nae TikTok nikam dm tukahamia whtsup asa kasi yake hadi naogopa kuonana nae!
Fanya utafiti majority wako hivoIs this serious?
Usichojua kuhusu wanawake wenye ndevu ile ni shida ya hormone na shida hiyo kuna aina mbali mbali moja wapo inaitwa PCOS nenda kaisome. Moja ya madhara ya PCOS ni kuwa hormone ya kiume inazalishwa kwa wingi, hvyo moja ya madhara yake ni mtu kuwa na hasira na depressed. Kuliko kukimbia mtu jifunze shida ni nini unaweza poteza ktu kizur kisa huna elimuWanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
No watu waungwana sanaWanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini