Wanawake wenye makalio makubwa na namba 8

Wanawake wenye makalio makubwa na namba 8

Naomba uweke picha ya kusapoti uzi wako.
1452603558281.jpg
1452603578750.jpg
 
Ni kwel nani aoe chanzo cha kifo...yule jamaa alisema ukimuona mwanamke mwenye umbo tata sana ujue ndio silaha yake
 
Tena naskia wanautaalam wakumpa mtu ugonjwa wa presha ya kupanda au kushuka
Kipengele namba 3 ndoa zao hua na mashaka na wasiwasi mwingi yaani muoaji wa hii kitu hua anakua hana amani kila anapopata safari au kutoka
 
mleta mada si ungesema tu kwa maoni/mtizamo wako(for your opinion) ndo unaona hivyo.
 
Baada ya kugundua yote ndio nimeleta kwenu ili nione utafiti wangu nilioufanya kupitia wasichana wa 5 na wanaume 2 je ndivyo ilivyo kweli au na ni wangapi wameyaona haya au yamewatokea
 
Back
Top Bottom