Wanawake wenye Hips wanatesa kwa mengi

Wanawake wenye Hips wanatesa kwa mengi

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,165
Wana Jamiiforums

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.

Sifa:
1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia kali za mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.

2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao, hutembea kwa maringo, hata daladala likisimamia mbali hawawezi kukimbia kuwahi.

3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata wanaume wasiposema kitu angalau ukonyeza.

4. Ni wasikivu sana wakati wa kudate maana wengi ni warefu hupenda sana kukuinamia kusikia zaidi uliongealo.

Matatizo.

1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani mwanamke yeyote duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpende mmojawapo.

2. Hawana raha kwani ukodolewa sana macho na watu, si wanawake wala wanaume.

3. Upata magonjwa sana asa fungus kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila watembeapo.

4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa msuguana hivyo umuoapo ni lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumunulia skin taiti kila mara kwa kuwa zinahariibika muda mfupi sehemu ya mapaja.
 
Hivi nahodha wa meli anaweza akawa anaendesha meli huku jicho lipo nchi kavu???

Achilia mbali nahodha daladala.zetu ziko resi kweli unamuonaje wa pembeni labda apande akae mbele

Uzur wa mwanamke n umbo???? Vimbau vimbau wasingeolewa kabisa
 
Wana JF,

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za ulembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shilling ni matatizo tupu.

Sifa:-
1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia kali za mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.

2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao, kwani hutembea kwa maringo, hata daladal likisimamia mbali hawawezi kukimbia kuwahi.

3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata wanaume wasiposema angalau ukonyeza.

4. Ni wasikivu sana wakati wa kudate maana wengi ni warefu hupenda sana kukuinamia kusikia zaidi uliongealo.

Matatizo.

1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani mwanamke yeyote duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpe mmojawapo.

2. Hawana raha kwani ukodolewa sana na watu, si wanawake wala wanaume.

3. Upata magonjwa sana asa fungus kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila mara

4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa msuguana hivyo umuohapo ni lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumunulia stini tyte kila mara kwa kuwa zinaalibika muda mfupi sehemu ya mapaja.

Ki ukweli hawa wenye maumbo haya hudatisha sana, waweza jikuta kitu kimeenda angola kama dunga dunga kwenye dala dala.
 

Attachments

  • iu.jpg
    iu.jpg
    3.1 KB · Views: 4,846
Mi sina mzuka kabisa na vimbau mbau.
 
Matatizo mengine 1. siyo wife materials 2. Wazito kunako 6 x 6 Faida nyingine 1. Wana joto sana 2. Wengi wanatoa jicho
 
Ni wazuri kutizama tu...!
Wakikosa self-hygiene, aaaah! mbona utawakimbia..!
 
Back
Top Bottom