Wanawake wenye hips na mapenzi

Wanawake wenye hips na mapenzi

avatar166032_1.gif


GossipGirl kama kakuzidi kw ukubwa tena hapa si balaa.

Grand PA

mamamaaaaa! Hlo si furush kabisa
 
Last edited by a moderator:
Afadhali???? Wakati kesho watakuja na utafiti mwingine wenye 25-30cm. Wanapenda wame za watu.
 
Uoooongoo! mi nina above 40 na sina hayo mahusiano ya kiivo. Mahusiano hayo ni tabia ya mtu tuu na wasituchafue na wengine. Haaariika!

Ila waru wa type yako husumbuliwa sana na wanaume. wengi hujitahidi kuchomoa lakini baadae hujikuta ndani ya 18. Au unasemaje?
 
Hips neema za Allah..amesema shehe mmoja ambaye clips zake zimesambaa whattsapp. Hata mie napenda..hayo mambo ya kuwa ma waume wengi ni mtu na mtu. wengine wapo ambao wako focused.
 
Back
Top Bottom