Kwanza wewe Valentina unapashwa uringe!
Wala usisumbuke na kutafuta kujipendekeza hapa!
Hivi unajifanya initial ya jinalo "v" ndiyo initial ya Tunda lihangakiwalo na kila Mwanaume ? V si ndo ina run dunia !
Uwongo ?
Umenisahau me lol
Just for love

Kwa hiyo mkuu wenye V ndio wagawaji wakubwa wa 'V'! Hahaa
Hahahaaaaaa....yani bora umenipa moyo mwenzio. Ili baki kidooogo nibadili jina. Sasa wacha niringe kwa raha zote....watanikomaje
. . . . Unasema?
shem waaaala mie nimejisemea tu jamani
hapo kidogo umetutia moyo
Swahiba na wewe umo..hongera kwa kuwa mzuri zaidi, akili nyingi and live long alma gemela
Jamani hivi kumbe eeh.
Hujasema bado! Subiri wakushukia we wauzi wachinja wazimu Mbwa wakurudie !