Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,198
hahahaaaa! Aaa! Nyie watu kiboko hapa mnanivunja mbavu.... Kwahyo yeye na ww nani mgumu? Ili mm nipate palipo lain ndio nizame staki shda mm
nijuze Dinazarde maji yaliyochanganywa na asali inakuwaje nimuogeshee kidume changu?!
Unanionea ujue ila mm najua pa kukukamatia
Eti upate laini unapenda vya dezo humpati mtu
hapa story tu kula kwenuuuu
He he he yani chuppi na bra vinanibana hebu ngoja nkavue kwanza....
kwanza kabisa nitumie namba yako ya mpesa au tigopesa nikutumie hela sasa hivi
umenikumbusha mbali kidogo
Hahhhhhahhhha kachupiiii katoee vaa lichupii banaa
Siku ile umenrushia vocha ya jero ukanigasi ile mbaya
kila saa Eva vipi?oyaa sasa, leo ukinitumia mpesa si utani......
Hapo tu umemkamulia ndimu anasakamwa hivo, ukimpaka asali si atachukuliwa?
shauri ako sitaki kuombwa ushauri
Senior expert ninao wawili unamsema mwenye avatar ya mtoto, au mzee?
Hataa simba ana mkeee
Hahhhhahhhhhahhhhahahhha au wananunuliwa chipsi mojaa na bia imewatoshaaa hahhhhjhhha
pole wakati mwingine itakuletea shida hiyo...'usijikute' tu unashika simu ya mwenzio kama hamna mazoea hayo
yap ni kweli lakini kuipitia na kuangalia mwenendo wa mwenz wako sio mbaya unashtukiza hata akiwepo aone na ajue hilo lipo!
Wanaume wabaya hawa hawalipii hata uchakavu....
yap ni kweli lakini kuipitia na kuangalia mwenendo wa mwenz wako sio mbaya unashtukiza hata akiwepo aone na ajue hilo lipo!
Siku ile umenrushia vocha ya jero ukanigasi ile mbaya
kila saa Eva vipi?oyaa sasa, leo ukinitumia mpesa si utani......
Atakugandaa kama mmbwa jikee anavyogandwaaa na mbwa dumeee usipokee tahadharii