Wanawake wengine...

Unajijua ww ni m/mke na umeolewa au upo kwenye relationship alafu unajiunga kwenye dating&flirting apps then utaki kutongozwa wala kuonjwa utamu huoo..Sasa kilichokuleta kule ni kitu gani km vipi baki ulipo na utakatifu wako huku nje ila mule ujiandae kusumbuliwa na kuombwa mzigo kama umeamua binafsi kujiunga na wala haujalazimishwa na mtu yoyote yule.

HAPPY NEW YEAR
Taratibu mzee yamekukuta wapi? Shusha pumzi ueleze vizr.
 
Acha uzwazwa wewe...
Hapo unakuwa unachotwa akili tu ili upigwe vizuri!
 
Mbona wanauza vizuri tu,isipokuwa kibongobongo ni kama hawajielewi vile ,maana mtu kajiunga kwenye site za kuliwa ila ukimgusia anakuja juu,hapo kuwa mpole mtumie bando kisha muombe tena, lazima ajae tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom