Wanawake wengine...

RealixT

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
1,488
2,557
Unajijua wewe ni mume/mke na umeolewa au upo kwenye relationship alafu unajiunga kwenye Dating & Flirting Apps then utaki kutongozwa wala kuonjwa utamu huoo.

Sasa kilichokuleta kule ni kitu gani km vipi baki ulipo na utakatifu wako huku nje ila mule ujiandae kusumbuliwa na kuombwa mzigo kama umeamua binafsi kujiunga na wala haujalazimishwa na mtu yoyote yule.

HAPPY NEW YEAR
 
Pole.. okay have a good day na heri ya kuukaribisha mwaka mpya vipi umeshaandaa sufuria na mwiko wa kupigia madebe..?
Ikifika saa 6 usiku natoka nje nasiliza madebe yanayopigwa na watu wengine.
Asante, na wewe pia
 
Ikifika saa 6 usiku natoka nje nasiliza madebe yanayopigwa na watu wengine.
Asante, na wewe pia
Ha ha! Okay itakuwa vyema mi bila kupakizwa kwenye karandiga la polisi halafu ndugu zangu wakaja nitoa hapo ndo nitaona nimeupokea mwaka..😊
 
Wanandoa wengi wanajiunga huko kuona kama wake ama waume zao wako uko na wengine wako huko kutaka tu kubadilisha mboga ila wana hofu ya kukamatwa na wapenzi wao.

Ukibahatika unaweza pata bonge la pisi lakini wengi ya wanawake walio huko wana sura za Kitarime na Unyakyusani sana na pia hujichubua huku wakiwa hawana hata shepu. Kama uko desperate na wanawake basi endelea tu kuwatongoza iko siku utawapata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom