grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jan 24, 2014 #81 Mkuu hiyo sehemu inatisha hata wahudumu wake. Ulimkuta yule mhudumu anayeitwa Mariam? Lakini ungempiga kapicha japo kwa kificho ukatuwekea hapa, maana unawezakuta ni mke wa mtu ametoroka nyumbani.
Mkuu hiyo sehemu inatisha hata wahudumu wake. Ulimkuta yule mhudumu anayeitwa Mariam? Lakini ungempiga kapicha japo kwa kificho ukatuwekea hapa, maana unawezakuta ni mke wa mtu ametoroka nyumbani.
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Jan 24, 2014 #82 Time Bandit said: kwani aliyeoa haruhusiwi kusifia kitu kizuri? Click to expand... Hapo chacha... hata aliyeoa naye anapenda kumega pembeni....
Time Bandit said: kwani aliyeoa haruhusiwi kusifia kitu kizuri? Click to expand... Hapo chacha... hata aliyeoa naye anapenda kumega pembeni....
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jan 24, 2014 #83 Munkari said: Ndo haohao bdaye mnakuja hapa kuwananga ooh wananuka vipapa!! Hawaogi! Mtindi maziwa ugali na samaki loh!! Click to expand... Hahahahaaaaaa....Sasa kama hajiswafi huko kusini mwa Afrika tumsifie tu.
Munkari said: Ndo haohao bdaye mnakuja hapa kuwananga ooh wananuka vipapa!! Hawaogi! Mtindi maziwa ugali na samaki loh!! Click to expand... Hahahahaaaaaa....Sasa kama hajiswafi huko kusini mwa Afrika tumsifie tu.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jan 24, 2014 #84 Munkari said: c ndo mana walipewa vya kusimama!! Click to expand... Nyinyi mkapewa vya.... malizia basi
Munkari said: c ndo mana walipewa vya kusimama!! Click to expand... Nyinyi mkapewa vya.... malizia basi
XinKumi JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 1,276 Reaction score 1,146 Jan 24, 2014 #85 LIKUD said: mi mwenyewe namtokea toka mwaka 1995 Click to expand... Hahaaaa likuuuuud,unakuwa kama torreba kaka...miaka yote hiyo bado una moyo tu? "Nlikuwepo":bolt:
LIKUD said: mi mwenyewe namtokea toka mwaka 1995 Click to expand... Hahaaaa likuuuuud,unakuwa kama torreba kaka...miaka yote hiyo bado una moyo tu? "Nlikuwepo":bolt:
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,081 Reaction score 72,481 Jan 24, 2014 #86 Siku hiz kila mtu mzuri hamna mbayaa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,501 Reaction score 74,245 Jan 24, 2014 #87 Dinazarde said: Siku hiz kila mtu mzuri hamna mbayaa Click to expand... Mkuu ni kweli kabisa miaka hii hata watoto wanaozaliwa ni wazuri ajabu !!!
Dinazarde said: Siku hiz kila mtu mzuri hamna mbayaa Click to expand... Mkuu ni kweli kabisa miaka hii hata watoto wanaozaliwa ni wazuri ajabu !!!