dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
km ww ni kidume kwanini usingemtongoza bla kujal yule jamaa ni nani ake?...unakuja kupga kelele humu
Unatupgia kelele hapa c ungemtongoza?! Bwbwa kweli ww au joka la kibisa nn?
Seriously married? I dont think so!!
kwani aliyeoa haruhusiwi kusifia kitu kizuri?Seriously married? I dont think so!!
yani wewe ni muzee ambaye una mtoto ambae ameoa? au sijaelewa, dah wazee wa siku izi balaa nadhani huyo kijana angekuwa ni bint yako hiyo tathmin ingemuhusu... Dah mbaya sana kama true aisee
Punguza matusi mkuu, sio razima uchaangie kama topic inakuboa!
walijichagulia maumbo kutoka wapi?
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
kutoka CHINA