Wanawake wengine wanawanyima waume zao unyumba

Wanawake wengine wanawanyima waume zao unyumba

Huyo jamaa lazima atakuwa nshomire maana wake roho zao wanazijua wenyewe...
 
Daah hapo swafiii, ndo dawa ya hawa viumbe!
 
alitakiwa kama ana hela avichukue vile vitu alipie na kumpelekea mkewe home, hapo mwanamke angejifunza kitu. kuanzia kauli na namna ya kumjibu mume hata kama hutaki jambo.
 
Wanawake siku zote mi nasema wanamawazo finyu sana! Hapo jamaa angenunua siku hiyo jamaa angepewa game kwa nguvu na asingesikia lugha ya SIJISIKII. Hivi mwanamke uko kwenye ndoa unatamka kwa mkeo eti hujisikii kwa mumeo? mmh hapo hamna ndoa!
 
Back
Top Bottom