Wanawake wengine ni mumiani

Wanawake wengine ni mumiani

Halafu kuna mademu wengine ukiwagonga tu wanatafuta namba ya mkeo hadi aipate. Akiipata atahakikisha anakunyoa magugumaji kisha anampigia mkeo na kumwambia..... kinyago wako huyo anakuja na kipara ngoto chake.... nimesha mfyeka msitu wake.... mwanamke wa hovyo wewe.... nimekutana na mijoka ya hatari Kwenye msitu wa mumeo
Hahahahahahahah! Leo sichangii chochote apa. Ngojeni tu nicheke
 
Hili ngoja tumuite Mchunguzi Huru Phd assaociate Professor
 
Mi mwenyewe nataka nikampeleke kwa mtaalam maana naona nyota yake imekwama kwenye tope anahitaji maombi kutoka kwa Sayo Mwanyongo
Namfahamu mmoja amefilisika hadi ameuza shell kisa mwanamke mweupe;

Ila na nyie wanaume mmezidi sana, mke unaye tena mzuri tu, lakini hamuishi kutamani.
Bujibuji njoo nikupeleke mahali ukasafishe nyota.
 
Last edited by a moderator:
sio WANAWAKE TU hadi wanaume kuna wenye nyota mbaya au mnuksi kuna boy nilikuwa naye miez mwil tu ila nilikoma niliona joto la jiwe...... yan hata kushika mia hakuna jaman nikamtema mbona mambo yakaenda fresh,,,,,,,,
 
Namfahamu mmoja amefilisika hadi ameuza shell kisa mwanamke mweupe;

Ila na nyie wanaume mmezidi sana, mke unaye tena mzuri tu, lakini hamuishi kutamani.
Bujibuji njoo nikupeleke mahali ukasafishe nyota.
Mamndenyi tayari nimetulia, sitakukimbia tena, yaliyonikuta kwa ndugu mchepuko yameninyoosha
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kuna wanawake wana gundu...ukiwaoa tu mambo hayanyooki kimaisha.

Ila pia kuna wale wengine ukiwaoa tu hata kama ulikuwa chapombe na mtumia hela hovyovovyo anakuweka kwenye mstari wa maendeleo. Nina ushahidi katika hili.
 
Basi Baba mpende mkeo, mweshimu mkeo, mthamini mkeo, achana na michepuko sio dili. BADILI TABIA
 
Duh! na kuna wengine ukiwanjunja tu hata kama ulikuwa huna mia mfukoni ukitoka tu nje ya nyumba unaokota jero! ghafla na simu za madili kibaaoooo unaanza kupigiwa! ila sasa walivyo wakorofi!
 
Back
Top Bottom