Wewe Mkuu unaona mbali. Hi I habari sio ngeni. Nimeshapata huh ujumbe Mara kadhaa.
Kwa mujibu wa mzee wangu wa heshma kabsa. Alitupa nasaha kwamba tungepaswa kupima hiki kipimo kabla ya kuamua kuoa.
Kabla hujaingia katika mahusiano unaweza anza na kutafuta haya
mwanamke mwenye nuksi. Ukiwa na nae ukagegeda Pima katika siku,Wiki, mwezi au mwaka. Utajua aina na mwanamke ulienae.
wengine ni nuksi mtindo mmoja. pesa hakuna. Unajikuta hata kula huioni.
Nshakuwa na mwanamke hela zangu kwishnei. nilivyomtema mambo yangu saafi.
Aione mumiani lara1