Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Kuna wanawake ambao ukitembea nao tu ujue ajira yako imefika ukingoni.Wapo wengine ukiwadinya tu kaa ukijua utapata hasara kubwa Kwenye biashara yako na ukijidai unang'ang'ana naye kaa ukijua ndio unakuwa fukara namba moja.
Wengine ndio ukimnjunji tu lazima ufe kifo cha ghafla. Kama si mtikisiko wa ubongo, basi utakufa kwa mshtuko wa moyo baada ya bank kutangaza kuuza hadi pants zako. Kama si mshtuko wa moyo basi utakufa ukiwa bar unakata ulabu.
Be careful kabla hujachepuka