Wanawake wengi wanatabasamu Usoni ila Mioyo inavuja Damu

Wanawake wengi wanatabasamu Usoni ila Mioyo inavuja Damu

Wanawake ni wavumilivu sana ,wanajua kufakenila wanafanyiwa mambo ya ajabu hapa duniani ..Nawaonea huruma sana .
 
Bora hivi na si tofauti.

Umewahi kushuhudia mwanaume ameingia kwenye mfumo wa mwanamke?

Wanawake ni makatili sana.

Siku wanawake watakapokuja kutake over kama ilivyo kwa wanaume, Dunia itaishia hapo.
 
Back
Top Bottom