witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,088
Umeanza ungese sasaNitunuku no. yako mtoto mzuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza ungese sasaNitunuku no. yako mtoto mzuri!
Baba P ukifa mi na watoto tutaishi vip? Nunua kiwanja tujengeUkifa sisi Na watoto tutaishi wapi???
Serious, nipo DSM tukutaneUmeanza ungese sasa
Ahhahaah jamenBaba P ukifa mi na watoto tutaishi vip? Nunua kiwanja tujenge
Ili ukifa si tuteseke sio?Nataka kuuza hii nyumbaa...jibu kama mwanamke mwenye ako na watot...
Mitusi gani tena bro mi mbona sinaga usnge wa kutukana tukana, au umenifananisha?
😂😂😂Aaah wewe
Wit nije PM kwako bcBaba P ukifa mi na watoto tutaishi vip? Nunua kiwanja tujenge
Ili waanze wao kufa inabidi tuoe wanawake waliotuzidi umri
20 ili uzeeke 😂😂 mitano tenakwaiz K vant tunazokunywa unarud nyumban uko hoi ukilala unakoroma kama jenereta apo wanatuwazia tu huyu kwa ulev huu hatoboi miaka 20 mbele
Acha njaa Ya papuchi mkuu, watu kama nyie ndio mnawapa wadada mibichwa mikubwaaaaaa wajione wako juu Mkulungwa01Nimekuelewa serious, nawish one day unitunuku tunda hilooo
Alokwambia wanaume tunakufa sababu hatufanyi mazoez nani? Majukum, stress na sonona ndio zinatumaliza, Mwanaume uweze kodi ya pango, mahitaji ya home, matunzo ya mke na watoto, vikoba ulipe wewe, ada, utunze wakwe na wazazi, ndugu jamaa na marafiki afu ukute pesa zakumenga mzee hutoboi 50, na bahat mbaya watoto wakikua wanahamishia mahaba yote kwa mama, utasikia nani kama mama, we unaangamia kwa kukosa mapenzi ya familia ulioipigania ktk ujana wako woteWakuu tupige mazoezi sanaaaa Tanzania nzima ili tupunguze hii kitu ya kufa mapema kwa wanaume
Mungu anawaonaUkifa sisi Na watoto tutaishi wapi???
Unakuja kufanya ninWit nije PM kwako bc
Mmmmmmh!!!Kuna Koo nyingine ukioa ni lazima utangulie mbele ya haki.
Aaah wewe sio mtoto bhana, mbona maswali ya kitoto jamn? Unaniua mwenzioUnakuja kufanya nin