Wanawake wengi wanajua waume zao ndio watatangulia kufa

Typing error nilitaka kuandika Evans salt ikaja Evelyn na nimeshindwa kuedit....unajua kuedit mwamba unifanyie manamna??
yaani unanichanganya(ga) mno wewe, mitusi unayotukana(ga) hakuna mwanamke anaweza kutukana, huwa nashangaa mno
 
Naweza sema hili lina ukweli... wengi wanaamini kuwa walinyanyasika, sasa ukivuta ndio wataanza maisha huru... Kuwa makini sana aisee, hawakawii kukukanyaga kende ukiwa usingizini. :D Ukianza kujijali, tumazoezi utaona ananuna, kwani unatafuta nini wewe, ushazeeka, waachie vijana, wanataka tufe tu..
 
Sababu wanajua mwanaume hawezi ishi miaka mingi kwa huo mdomo wao...... Wanajiujua wao ni sumu kuliko ya kifutu. So wanapokwambia utakufa they know wao ndio sababu ya wewe kufa. Ukiona mwanamke amenza kukwambia hivyo kimbia
 
Sio kwangu kijana!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom