Wanawake wengi wanajua waume zao ndio watatangulia kufa

Mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe, kuna maujinga mengi mnayoyafanya ambayo huwasogeza karibu sana na kifo. Hivyo huwa ni obvious tu.

Ila pia hiyo kauli huwa ni just in case, baada ya kuona uelekeo wako ni wa kukisaka kifo zaidi
SI KWELI.
 
Sijui kujisahau au imani kuwa wanaume wanawahi kufa
Kujisahau tu, utasikia sasa ukiuza hii nyumba ukifa nitakaa wapi na watoto?

hahahhahaha labda tunajiamini sana hahahhaha, au akili ndogo au vile tumekuwa tegemezi sana, nashauri wanawake wenzangu tutafute hela ili tuepukane na haya mawazo mgando

kufa mtu yeyote anatangulia, hii ni mipango ya Mungu tu.
 
Amen

Mungu awape utambuzi mpya kwa hili
 
Japo hali halisi huwa ndio hiyo, familia nyingi sana baba anatangulia....

Mi naogopa kwakweli, mara nyingi sana huwa namuombea mme wangu maisha marefu, tuzeeke wote hadi tuwe tunaanikwa juani kama mahindi, kuna muda namwangalia tu najikuta nasema kimoyo moyo "Mungu mjaalie maisha marefu huyu mwanaume" ntamuombea sanaaa sanaaa
Safi, ila wewe ni dume.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom