Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

si kweli nakataa nyinyi msoolewa achen visingizio oeni au oleweni ni heshima kwa jamii mambo mengine ni tabia ya mtu mwenyewe

prospa katika ndoa 5, 3 ni majanga make follow up utaona mnaishia kufuatana mkiwa nje lakini ndani huko thing already fall apart
 
Hli jambo lipo na kubwa kwl ktk jamii,mm yamenikuta haya bwana, bahati mbaya walinishinda wale wamama bwana.Tena ni mtu na mdogo wake,nilicheza nao mchezo hatari ktk maisha.Bahati nzr niliondoka pasipo mambo kuvuja,ila mdogo wao mwny rika sawa na mie alijua na aliniambia et " Naona unawafaidi dada zangu"NILITETEMEKA nikamwambia dada yake,dada mtu akasema anataka naye huyo ngoja nitaongea naye.
 
Umeeleza vizuri sana mkuu... Makundi ya hao wanawake kwa sie mabachelor wenye kufanya kazi za ki officer usipokuwa makini utafagia sio mchezo
 
Akigonga usimwambie karibu, fungua sikiliza shida yake. Vitu vingine mnaviendekeza wenyewe.
 
Usingemjibu. Ukimjibu ndio unamu-entertain. Hata aandike nini wewe ni bati tu.
 
Simple analysis reflects that wanaume hawazijali tena hisia za wake zao mara baada ya kufanikiwa kuwaweka ndani, wana-assume kuwa hao (WAKE ZAO) wamekua wamama wa kulea familia na kutunza nyumba, kumbe wanatakiwa kuwajali na hasa kuzijali hisia zao za kimahaba (husbands should appeal to the emotional needs of their wives) wanaume wanapokua hawajali wake zao wana-feel negleted and disturbed emotionally...jibu ni MCHEPUKO. Lakin mwanaume ukitenga muda wa kucheza na mkeo kimahaba kama enzi za uchumba wenu na ukamwonyesha waziwazi unamjali....hata uende wapi atakutext....Baby nakumis saana, nakusubiri uje unipe tam tam! ...the problem is...wanaume wengi huingia kwenye ndoa wakiwa hawamjui mwanamke ni kiumbe wa vp na mahitaji yake kihisia ni yapi hasa....lol to u wanaume mnaotunza ndoa zenu kwa kuzijali sana hisia za ndani za wake zenu!:A S-confused1:

 
Mimama ya mjini ni shidaaa, ukiwa na kausafiri sasa ndio daaa daaah, ufumbe macho tu.
 
Hii thread imesisimua waume za watu. Mi naona suala hapa ni kutimiza wajibu wako kwa mkeo na sio kuwa bully hapa.

Wanawake wengi wanalalamika yanaowatokea ndani ya ndoa na wanatafuta michepuko at any cost. Ila as a man, hakuna kitu inauma kama kuchapiwa. Kiru!

Ila niseme jambo moja... Sibishi na sikatai kwamba mwanamke ambae hajasoma anahitaji extra attention na care. La sivyo utashangaa. Kutosoma kunamfanya mtu awe insecure na kuwa na random fu.cke.d up thoughts... Been there, done that.

Waliosoma nao majanga kwani wanajiona wanajua kila kitu na wengi huwaza maslahi.

Maelewano na mawasiliano mazuri katika ndoa yanasaidia sana.

Maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…