wanawake wengi ni wanafiki katika hili....!

Well said!
 
mtoa mada fafanua katika mazingira gani..!!
 
babu kumbe wewe ni 'ke' nilikua sijajua. Hii habari najua wadada hamtakubaliana nayo, ila mazingira ninayosemea ni pale mwanamke anapotaka kujionyesha kwa mwanaume kuwa yeye ni muaminifu, au kama sio kwa mpenzi wake basi ataelezea hata kwa marafiki zake ili apate umaarufu wa kumkataa fulani tena sometimes hata kama hajatongozwa.
 
Sasa huo unaoongelea wewe ni ulimbukeni...na sidhani kama “WANAWAKE“ ni malimbukeni.
 
Wanawake tuna kazi!!!
Kila tunalofanya ni mada?
Kama sisi ni maua wanaume ni nini? Mawe?
Na watunga mada khs wanawake ni wanaume,kwani nyie hamna vitabia?
Nikitulia nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha thread kuhusu hili...
 
hi, jamii?unfik upo bt inategemea na wewe mume mwenyewe,coz kama wewe pia sio mwaminifu kwanini mwanamke asifanye vile anataka?kumbukene kwamba mwanamume ukiwa na mambo yako yasio eleweka mwanamke atakuendea kinyume lakini kama wewe utakua mwamifu basi kilakitu kitakuwa wazi ambapo mke wako hataweza kukuendea kinyume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…