Wanawake wengi hawana hela ya sikukuu

Wanawake wengi hawana hela ya sikukuu

Sonko Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
806
Reaction score
320
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia kuu nikasherekee sikukuu na mchepuko?.Hata mtaani nikisalimia wadada tu na stori kidogo kifuatacho ni hela ya sikukuu.

Naanza kuamini kuwa ni rahisi kuwapata wanawake katika kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote.
 
Una uhakika ni rahisi kuwapata?
au ni rahisi kuchunwa?
wengine watakuchuna na usiwapate

Hainaga hiyo, anavyopiga hesabu za kunichuna, mi napiga hesabu ambazo zitamchukua mda mrefu kupata majibu yake, wamekuwa warahisi mno
 
magufuli kabana mbaya..we tangu masolex aingie madarakan ushaskia hata wale mashankupe wa mjin wanafanya besdei?

Mkuu, hela imekuwa ngumu zaidi kwa hawa jinsia ya kike, yan wanatia huruma
 
Tang'ana hata mimi sijasikia aisee inaonekana walikuwa wanatusua pesa za kupiga.
Wanavyojidai sasa kwenye media huko, mwaka huu tutakuwa sawa tuuu.
 
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia kuu nikasherekee sikukuu na mchepuko?.Hata mtaani nikisalimia wadada tu na stori kidogo kifuatacho ni hela ya sikukuu.

Naanza kuamini kuwa ni rahisi kuwapata wanawake katika kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote.

Baba mchungaji Illovo njoo nmekumbuka ile siku ulisema wanawake wameanza kutafuta hela mapema kwa kupiga vizinga watu....
 
Last edited by a moderator:

nimekuja! nilisema hapa kama tahadhali wengi wakabeza. nikatoa angalizo kwa vijana kuwa makini. na mada nyingne nimetoa juzi tu kuwa wamepanga kuwachuna wanaume pesa alafu cku ckukuu wanavaa pedi zao ili ww ucpate kitu. MUNGU OKOA VIJANA
 
Kweli mchungaji, sasa naanza kukuamini.....
 
When are we going to learn to respect each other regardless of gender? Hata kama unaombwa hela unadhani amekuomba sababu yeye ni mwanamke au sababu anashida? Kama mmeenda shule nadhani hapa ndiyo mahali pakujitofautisha na layman!Tujitahidi kuonyesha uelewa wetu kwa jamii inayotuzunguka na tuwe roll models kwa vizazi vijazo. Kama mwanamke anatumia mwili wake kama source of income then we have to ask ourselves why!Syo miaka mingi sana tumetoka kupambana na swala la elimu sawa kwa jinsia zote. Je victims wa mfumo uliopita wa elimu kwa mvulana kwanza tunajua walipo? Let's change the way we argue things and help one another!

Back
Top Bottom