sio wa hukungoja waje wenyewe kujisemea bana
sio wa huku
sijawai kuona matusi humu...naongelea niyaonayohata wa huku pia wanafanya kwani wao malaika, wachane tu live
yaani wadada wa heshima kumbe akili zao matope matupu.roho mbaya kama shetani.mtu anatoa matusi hadi unapofuka kusoma?Umenena mama...
Wanawake maneno machafu yanawatoka hatari.
Halafu ni wasomi wenye kazi zao na maisha mazuri tu.
Sio rahisi mwanamke aliepigika na maisha hajui atapataje elfu moja ya kula na wanae akae nyuma ya keyboard busy kufanya ujinga ule
sijawai kuona matusi humu...naongelea niyaonayo
ma jery kwa huu moshi unaofuka hapa ukipewa njiti kidogo nawe hukawii kulimwaga. Huu ujumbe ungefaa sana kama ungeupeleka kule waliko walengwa (Au umehakikisha kuwa hata humu wako?)yaani wadada wa heshima kumbe akili zao matope matupu.roho mbaya kama shetani.mtu anatoa matusi hadi unapofuka kusoma?
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni
Hizo blog ndo zinaingilika mlango gani?. Kwa nini nawe unakwenda kule?
wapo sana hata humu au niwataje?Bi Mdogo taratibuuuuuuuu, tena punguza mwendo kabisaaaaa, na ikibidi zima injini. Huo uwingi unaotuweka mimi nakushangaa. Humu JF Kuna wanawake Ma-gret thinka wa kumwaga na sijaziona hizo tabia unazozitaja humu. Itakuwa busara kama ungekwenda washauri kwingine kwenye tabia hizo.