Labile
Member
- Dec 9, 2016
- 58
- 63
Mimi ni mzoefu katika mahusiano kwa muda wa zaidi ya miaka 10 Sasa. Nimepitia different tastes, lakini nisemee makundi mawili la wanawake wembamba na wale wenye maumbo mwana.
Nilichogundua kwa wanawake wembamba Wengi huwa wanajua kupenda na kusema hapana kwa "mwizi" na kusimamia misimamo yao japo wanachangamoto ya kujihisi hisi kutokana na maumbo yao.
Ila hili kundi la pili maarufu pisikali, ni wazuri Sana bed, hasa nyakati za masika, na hata wao kinachowafanya wavimbe kichwa ni lile umbo, na kwa uzoefu wangu nimeona Wengi wakiwalalamikia kutokua waaminifu na of course ni kweli na wakati mwingine miili yao ndio mitaji, ukiwa na hela hawajui kukataa, anaweza kukufanya mtumwa Kama ulimpendea lile t***ko lake.
Tuwe makini kuchagua, ni bora uwe na tabia mbovu ila sio mgawaji.