lete picha kama tatu za mfano...maana uzuri ni relative term...ndio maana Lupita naye mzuri...
mafanikio na akili vinaleta uzuri, Oprah naye mzuri.
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.
weka picha yako tukuone
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.
Usije kujisahau siku unakuja kuweka thread unatafuta mchumba au mumeo anatoka nje
kina Tyta watakukumbusha haya...
cc Ustaadh Swalehe ....