Kwan wote walishawai kuolewa?Irene Uwoya
Wema Sepenga
Aunt Ezekiel.
Lulu Michael
Hamisa Mobeto.
Nyamayao.
K-Lily
Gigy-Money
Kati yao woote niliowataja ni wawili tu wametulia kwenye ndoa zao, wengine vimeo.
So wanaume wako sahihi.
Kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata bure sioi mwanamke kama Uwoya na wengine wa sampuli hiyo. Ya nini kujitafutia magonjwa ya moyo, jaribu kudate na mdada mzuri utaipata habari yake
Ahsanteeemwanamke mzuri ni wa kwako tuu....... wengi ni fahari ya macho.....
Hata bure sioi mwanamke kama Uwoya na wengine wa sampuli hiyo. Ya nini kujitafutia magonjwa ya moyo, jaribu kudate na mdada mzuri utaipata habari yake
Kuna wanaomcha mungu lakni ni wanafki haswaa.Uzuri hudanganya ,naupendeleo ni batili ,bali mwanamke amchaye Mungu na mwenye tabia njema ndio mke
Sawasawa, namtu amchae Mungu, hawezi kua mnafiki.Kuna wanaomcha mungu lakni ni wanafki haswaa.
Bora asiyemcha mungu na akawa mwema kuliko amchaye mungu na mnafiki, mzandiki.
Wewee haujaona tatzo, hakuna kuvunjika shingo hapo wewe ndyo utavunjika moyo,Sawasawa, namtu amchae Mungu, hawezi kua mnafiki.
Akiwa mnafiki kuna siku atavunjika shingo tuu.
Shangaa na weweHawa uliowataja ndo wazuri kumbe
Hayajawakuta hayo.Wee waache tu wajipe moyo na misemo mkuu, nadhan hawajawahi date sampuli hizo
Maybe , ila nijuavyo mimi mwisho wa ubaya hua ni aibu, naubaya hata km upo ndan ya moyo wako utakuumbua tu.Wewee haujaona tatzo, hakuna kuvunjika shingo hapo wewe ndyo utavunjika moyo,
Kuna wanawake watakatifu na wanawake watakavyote.
Chunga sana
Achana na mbingu kwanza, mwisho wa ubaya ni aibu kweli, na mambo ya kusalitiana ktk mahusiano naona bora umwambie mtu kama haumuhtaji asepe zake.Maybe , ila nijuavyo mimi mwisho wa ubaya hua ni aibu, naubaya hata km upo ndan ya moyo wako utakuumbua tu.
Kwamfano, wee umwema ktk mahusiano, na demu wako anakua na vitabia vya siri, mbingu hazitokuacha upotee ,sanasana zitakusaidia kumuumbua uyu mtu mnafiki.
Yaani na gigy nae mzuri??? Hebu ngoja nikaangalie ramli inasemaje katika hili weeeIrene Uwoya
Wema Sepenga
Aunt Ezekiel.
Lulu Michael
Hamisa Mobeto.
Nyamayao.
K-Lily
Gigy-Money
Kati yao woote niliowataja ni wawili tu wametulia kwenye ndoa zao, wengine vimeo.
So wanaume wako sahihi.
Dah kweli kwa iyo list yaan umaarufu wa mitandao ndo uzuri bro mpk gigy,aunt azekiel uzur wao wapYaani na gigy nae mzuri??? Hebu ngoja nikaangalie ramli inasemaje katika hili weee
Hahahaha kwakweli malipo nihapahapa tuu, sasa ningumu mtu kukuambia, hapa kilichopo nimbingu kukusaidia kujua uchafu wamtu,alafu kilichobaki unasema *yadunian yanaishia hapahapa*Achana na mbingu kwanza, mwisho wa ubaya ni aibu kweli, na mambo ya kusalitiana ktk mahusiano naona bora umwambie mtu kama haumuhtaji asepe zake.
Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu...
Exactly!, mwanafalsafa wa kijerumani Emmanuel kant amelizungumzia sana !Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu...