Wanawake wavivu kitandani mnaboa

Wanawake wavivu kitandani mnaboa

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
470
Unakuta uko na mpenzi wako ambae mko kwenye mahusiano muda tu zaidi hata ya mwaka lakini kila mnapoingia kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia chumbani mwanamke hataki kubadilika.

Kila siku anataka staili moja tu au mbili nikimaanisha mbuzi kagoma kwenda na kifo cha mende.Ukimwambia geuka hivi anakuambia ooooh hivo me siwezi yani anataka tu kila siku mfanye staili moja ile wanawake wanayoitumia kujifungulia leba.

Yani kila siku yeye ni kifo cha mende tu siku ukimwambia basi leo tufanye hata mazishi ya mende anakwambia ooooh hiyo me naumia, na kuna wanawake wanaenda mbali zaidi kusema kwamba ukimweka staili ya mbuzi kagoma kwenda eti unamsukuma kizazi.Yani kila siku mende anakufa tu haijulikani atazikwa lini.

Mambo yamebadilika dada zetu hivyo hamna budi na nyinyi kubadilika mnapokua na wapenzi wenu sababu hampo pale kwaajiri ya kukamilisha zoezi lahasha bali kila mmoja anatakiwa akitoka pale awe ameridhika.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka kiasi flani, ambao hamjanielewa mniwie radhi.
 
Kulingana na Heading yako, Ukiona mvivu kitandani jaribu location nyingine ,

Halafu tatizo la kupenda kuangalia filamu za ngono ndio linapelekea watu wapende kuwapindua wanawake kama chapati kikaangoni yaani mara kaa hivi , binuka vile mpaka ladha ya tendo inaidha kabisa anabaki anakufurahisha wewe tu.

Ila kwa ushauri wangu tu ni kuwa akuhitaji hizo mbilinge mbilinge za mitindo tafauti kwa goli moja bora utafute malaya tu wakupoze lakini ndani ya ndoa huwa tunakulana kwa staha zaidi na unyenyekevu wa hali ya juu.
 
Umeeleweka sana tu ila jaribu kuongea nae kwa uwazi. Maana wengine wanafanya hivyo vitu kwa mazoea bila kujua ni makosa.

Kumridhisha na kumkamata mwanaume ni vitu viwili tu
1:Tumbo lake kwa kumpikia vyakula tofauti na vyenye rad ha tofauti.
2:Kitandani kujichetua uwezavyo.
Basi ni hayo tu hakuna uchawi mwingine
 
Sasa kama anaumia kwa hizo style nyingine unataka akubali tu ili akuridhishe wewe? Mfundishe taratibu hizo style mpya ainjoi uone kama atakataa.

Yani kwenye sex nako kuna ubinafsi sana mtu anataka afurahishwe yeye ila khs mwenzie hayamhusu.
 
Unakuta uko na mpenzi wako ambae mko kwenye mahusiano muda tu zaidi hata ya mwaka lakini kila mnapoingia kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia chumbani mwanamke hataki kubadilika.Kila siku anataka staili moja tu au mbili nikimaanisha mbuzi kagoma kwenda na kifo cha mende.Ukimwambia geuka hivi anakuambia ooooh hivo me siwezi yani anataka tu kila siku mfanye staili moja ile wanawake wanayoitumia kujifungulia leba.

Yani kila siku yeye ni kifo cha mende tu siku ukimwambia basi leo tufanye hata mazishi ya mende anakwambia ooooh hiyo me naumia, na kuna wanawake wanaenda mbali zaidi kusema kwamba ukimweka staili ya mbuzi kagoma kwenda eti unamsukuma kizazi.Yani kila siku mende anakufa tu haijulikani atazikwa lini.

Mambo yamebadilika dada zetu hivyo hamna budi na nyinyi kubadilika mnapokua na wapenzi wenu sababu hampo pale kwaajiri ya kukamilisha zoezi lahasha bali kila mmoja anatakiwa akitoka pale awe ameridhika.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka kiasi flani, ambao hamjanielewa mniwie radhi.
Tafuta kabila linaitwa Wazigua wanapatikana kwa wingi Handeni mkoani Tanga huwezi kujijutia
Tafadhali kama huna mbegu za kutosha usiende
 
Unakuta uko na mpenzi wako ambae mko kwenye mahusiano muda tu zaidi hata ya mwaka lakini kila mnapoingia kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia chumbani mwanamke hataki kubadilika.Kila siku anataka staili moja tu au mbili nikimaanisha mbuzi kagoma kwenda na kifo cha mende.Ukimwambia geuka hivi anakuambia ooooh hivo me siwezi yani anataka tu kila siku mfanye staili moja ile wanawake wanayoitumia kujifungulia leba.

Yani kila siku yeye ni kifo cha mende tu siku ukimwambia basi leo tufanye hata mazishi ya mende anakwambia ooooh hiyo me naumia, na kuna wanawake wanaenda mbali zaidi kusema kwamba ukimweka staili ya mbuzi kagoma kwenda eti unamsukuma kizazi.Yani kila siku mende anakufa tu haijulikani atazikwa lini.

Mambo yamebadilika dada zetu hivyo hamna budi na nyinyi kubadilika mnapokua na wapenzi wenu sababu hampo pale kwaajiri ya kukamilisha zoezi lahasha bali kila mmoja anatakiwa akitoka pale awe ameridhika.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka kiasi flani, ambao hamjanielewa mniwie radhi.
PIGA CHINI huyo!ila staili ya mbuzi kagoma kwenda kuna wanawake wananuka mavi kama vyoo vya ilala Mimi siipendelei Mara kwa mara
Please hide my ID
 
me hata kula nimesamehe kwaajil ya hii mada. ila naomb kuulza mkuu mazishi ya mende yakoje...?
 
Hao family material. Wanaheshima, hawachepuki hovyo ni rahisi kupata mimba, hawajawekeza kwenye kujiremba na kufanya mapenzi na mapenzi yao ni kwa lengo la kupata watoto, ni hard worker na si wa garama, wana uwezo wa kuishi maisha ya mjini na vijijini. Sasa wewe komaa na hao wakata viuno na kuchwa kujiremba siku maisha ya mjini yashindikane kwako na utatakiwa urudi kijikini ndio utajua maarage sii mboga, hakukupenda wewe ila alipenda pesa zako
 
Mmmh. Mie naona kikubwa ile raha ipatikane tu hizo kunja kunja zaweza kuwepo ila badala ya raha ikageuka kuwa karaha.

Pia punguzeni kuiga kwa wazungu sababu wale wanafanya biashara.
Uko poa best? Hivi ule ubuyu wa jana umefutwa nini....baadae ulinoga zaidi, sasa nashangaa siuoni tena
 
Mara nyingi ni sisi wenyewe tu tunashindwa kuwamudu.

Mfano, i once met a girl akaniambia yeye sex ni mara moja moja hata akifanya more than once per month anaona ni too much. Na style yake ni missionary tu.Nikamwambia sawa, hata sikumbishia au kujaribu kumconvince otherwise. Ila what i did ni kumfanya the very first day i was in bed with her kuwa comfortable and and let her be in control, i didn't make her expect anything. Just go with the flow and focus on having fun. Kufanya hivo kulimfanya awe comfortable to experiment and try different things in bed later on. Huwezi amini tuliburuzana mwezi mzima nonstop, even her period couldn't stop us. Told me about how i unleashed something in her.

Kwahiyo yeah, do that and trust me, yeye mwenyewe will surrender herself to you na atakuwa anakupa ushirikiano wakutosha.
 
Back
Top Bottom